"Muunganisho wa simu yako utaondolewa kwenye %1$s."
"Muunganisho wa kompyuta yako kibao utaondolewa kwenye %1$s."
"Muunganisho wa kifaa chako utaondolewa kwenye %1$s."
"Anwani ya Bluetooth ya simu: %1$s"
"Anwani ya Bluetooth ya kompyuta kibao: %1$s"
"Anwani ya Bluetooth ya Kifaa chako: %1$s"
"%1$s inataka kufanya kompyuta kibao uliyo nayo ionekane kwenye vifaa vingine vya Bluetooth kwa sekunde %2$d."
"%1$s inataka kufanya simu yako ionekane kwenye vifaa vingine vya Bluetooth kwa sekunde %2$d."
"Programu fulani inataka kufanya kompyuta kibao uliyo nayo ionekane kwenye vifaa vingine vya Bluetooth kwa sekunde %1$d."
"Programu fulani inataka kufanya simu yako ionekane kwenye vifaa vingine vya Bluetooth kwa sekunde %1$d."
"%1$s inataka kufanya kompyuta kibao uliyo nayo ionekane kwenye vifaa vingine vya Bluetooth. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio ya Bluetooth baadaye."
"%1$s inataka kufanya simu yako ionekane kwenye vifaa vingine vya Bluetooth. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio ya Bluetooth baadaye."
"Programu inataka kufanya kompyuta kibao uliyo nayo ionekane kwenye vifaa vingine vya Bluetooth. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio ya Bluetooth baadaye."
"Programu fulani inataka kufanya simu yako ionekane kwenye vifaa vingine vya Bluetooth. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio ya Bluetooth baadaye."
"%1$s inataka kuwasha Bluetooth na kufanya kompyuta kibao uliyo nayo ionekane kwenye vifaa vingine kwa sekunde %2$d."
"%1$s inataka kuwasha Bluetooth na kufanya simu yako ionekane kwenye vifaa vingine kwa sekunde %2$d."
"Programu inataka kuwasha Bluetooth na kufanya kompyuta kibao uliyo nayo ionekane kwenye vifaa vingine kwa sekunde %1$d."
"Programu inataka kuwasha Bluetooth na kufanya simu yako ionekane kwenye vifaa vingine kwa sekunde %1$d."
"%1$s inataka kuwasha Bluetooth na kufanya kompyuta kibao uliyo nayo ionekane kwenye vifaa vingine. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio ya Bluetooth baadaye."
"%1$s inataka kuwasha Bluetooth na kufanya simu yako ionekane kwenye vifaa vingine. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio ya Bluetooth baadaye."
"Programu fulani inataka kuwasha Bluetooth na kufanya kompyuta kibao uliyo nayo ionekane kwenye vifaa vingine. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio ya Bluetooth baadaye."
"Programu fulani inataka kuwasha Bluetooth na kufanya simu yako ionekane kwenye vifaa vingine. Unaweza kubadilisha hali hii katika mipangilio ya Bluetooth baadaye."
"Simu imesimbwa kwa njia fiche"
"Simu haijasimbwa kwa njia fiche"
"Kifaa kimesimbwa kwa njia fiche"
"Kifaa hakijasimbwa kwa njia fiche"
"Tumia uso wako kufungua simu yako, kuidhinisha ununuzi au kuingia katika akaunti za programu."
"Tumia uso wako ili ufungue kompyuta kibao yako, uidhinishe ununuzi au uingie katika akaunti kwenye programu."
"Tumia uso wako ili ufungue kifaa chako, uidhinishe ununuzi au uingie katika akaunti kwenye programu."
"Ruhusu mtoto wako atumie uso wake kufungua simu yake"
"Ruhusu mtoto wako atumie uso wake kufungua kompyuta kibao yake"
"Ruhusu mtoto wako atumie uso wake kufungua kifaa chake"
"Kutumia uso wa mtoto wako kufungua simu yake huenda kusiwe salama ikilinganishwa na mchoro au PIN thabiti."
"Kutumia uso wa mtoto wako kufungua kompyuta kibao yake huenda kusiwe salama ikilinganishwa na mchoro au PIN thabiti."
"Kutumia uso wa mtoto wako kufungua kifaa chake huenda kusiwe salama ikilinganishwa na mchoro au PIN thabiti."
"Tumia alama ya kidole chako kufungua kompyuta kibao yako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti ya programu au unapoidhinisha ununuzi."
"Tumia alama ya kidole chako kufungua kifaa chako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti kwenye programu au unapoidhinisha ununuzi."
"Tumia alama ya kidole chako kufungua simu yako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti kwenye programu au unapoidhinisha ununuzi."
"Mruhusu mtoto wako atumie alama ya kidole chake kufungua simu yake au kuthibitisha kuwa ni yeye. Hali hii hutokea anapoingia katika akaunti kwenye programu, anapoidhinisha ununuzi na mengineyo."
"Mruhusu mtoto wako atumie alama ya kidole chake kufungua kompyuta yake kibao au kuthibitisha kuwa ni yeye. Hali hii hutokea anapoingia katika akaunti kwenye programu, anapoidhinisha ununuzi na zaidi."
"Mruhusu mtoto wako atumie alama ya kidole chake kufungua kifaa chake au kuthibitisha kuwa ni yeye. Hali hii hutokea anapoingia katika akaunti kwenye programu, anapoidhinisha ununuzi na zaidi."
"Huenda kiwango cha usalama wa kufungua simu yako kwa alama ya kidole kikawa chini ikilinganishwa na wa mchoro au PIN thabiti"
"Kutumia alama ya kidole kufungua kompyuta kibao yako huenda kusiwe salama ikilinganishwa na mbinu nyinginezo za kufunga skrini kama vile mchoro au PIN thabiti"
"Kutumia alama ya kidole kufungua kifaa chako huenda kusiwe salama ikilinganishwa na mbinu nyinginezo za kufunga skrini kama vile mchoro au PIN thabiti"
"Unapotumia Pixel Imprint, picha zinatumiwa ili kusasisha muundo wa alama ya kidole chako. Picha zinazotumiwa kuunda muundo wa alama ya kidole chako hazihifadhiwi, ila muundo wa alama ya kidole unahifadhiwa kwa njia salama na kusalia kwenye simu yako. Mchakato wote hufanyika kwenye simu yako kwa njia salama."
"Unapotumia Pixel Imprint, picha zinatumiwa ili kusasisha muundo wa alama ya kidole chako. Picha zinazotumiwa kuunda muundo wa alama ya kidole chako hazihifadhiwi, ila muundo wa alama ya kidole unahifadhiwa kwa njia salama kwenye kompyuta kibao yako na husalia kwenye kompyuta kibao. Mchakato wote hufanyika kwenye kompyuta kibao yako kwa njia salama."
"Unapotumia Pixel Imprint, picha zinatumiwa ili kusasisha muundo wa alama ya kidole chako. Picha zinazotumiwa kuunda muundo wa alama ya kidole chako hazihifadhiwi, ila muundo wa alama ya kidole unahifadhiwa kwa njia salama kwenye kifaa chako na husalia kwenye kifaa. Mchakato wote hufanyika kwenye kifaa chako kwa njia salama."
"Anapotumia Pixel Imprint, picha zinatumiwa ili kusasisha muundo wa alama ya kidole chake. Picha zinazotumiwa kuunda muundo wa alama ya kidole cha mtoto wako hazihifadhiwi, ila muundo wa alama ya kidole unahifadhiwa kwa njia salama na kusalia kwenye simu. Mchakato wote hufanyika kwenye simu kwa njia salama."
"Anapotumia Pixel Imprint, picha zinatumiwa ili kusasisha muundo wa alama ya kidole chake. Picha zinazotumiwa kuunda muundo wa alama ya kidole cha mtoto wako hazihifadhiwi, ila muundo wa alama ya kidole unahifadhiwa kwa njia salama kwenye kompyuta kibao na husalia kwenye kompyuta kibao. Mchakato wote hufanyika kwenye kompyuta kibao kwa njia salama."
"Anapotumia Pixel Imprint, picha zinatumiwa ili kusasisha muundo wa alama ya kidole chake. Picha zinazotumiwa kuunda muundo wa alama ya kidole cha mtoto wako hazihifadhiwi, ila muundo wa alama ya kidole unahifadhiwa kwa njia salama kwenye kifaa na husalia kwenye kifaa. Mchakato wote hufanyika kwenye kifaa kwa njia salama."
"Unaweza kufuta muundo na picha za alama ya kidole chako, au uzime kipengele cha Kufungua kwa Alama ya Kidole wakati wowote katika Mipangilio. Miundo na picha za alama ya kidole zinahifadhiwa kwenye simu hadi utakapozifuta."
"Unaweza kufuta muundo na picha za alama ya kidole chako au uzime kipengele cha Kufungua kwa Alama ya Kidole wakati wowote katika Mipangilio. Miundo na picha za alama ya kidole zinahifadhiwa kwenye kompyuta kibao hadi utakapozifuta."
"Unaweza kufuta muundo na picha za alama ya kidole chako au uzime kipengele cha Kufungua kwa Alama ya Kidole wakati wowote katika Mipangilio. Miundo na picha za alama ya kidole zinahifadhiwa kwenye kifaa hadi utakapozifuta."
"Wewe na mtoto wako mnaweza kufuta muundo na picha za alama ya kidole chake, au kuzima kipengele cha Kufungua kwa Alama ya Kidole wakati wowote katika Mipangilio. Miundo na picha za alama ya kidole zinahifadhiwa kwenye simu hadi utakapozifuta."
"Wewe na mtoto wako mnaweza kufuta muundo na picha za alama ya kidole chake au kuzima kipengele cha Kufungua kwa Alama ya Kidole wakati wowote katika Mipangilio. Miundo na picha za alama ya kidole zinahifadhiwa kwenye kompyuta kibao hadi mtakapozifuta."
"Wewe na mtoto wako mnaweza kufuta muundo na picha za alama ya kidole chake au kuzima kipengele cha Kufungua kwa Alama ya Kidole wakati wowote katika Mipangilio. Miundo na picha za alama ya kidole zinahifadhiwa kwenye kifaa hadi mtakapozifuta."
"Simu yako inaweza kufunguliwa wakati hujakusudia, kama vile mtu mwingine akiishikilia kwenye kidole chako."
"Kompyuta kibao yako inaweza kufunguliwa wakati hujakusudia, kama vile ikiwa mtu mwingine akiishikilia kwenye kidole chako."
"Kifaa chako kinaweza kufunguliwa wakati hujakusudia, kama vile ikiwa mtu mwingine akikishikilia kwenye kidole chako."
"Simu ya mtoto wako inaweza kufunguliwa wakati hajakusudia, kama vile mtu mwingine akiishikilia kwenye kidole chake."
"Kompyuta kibao ya mtoto wako inaweza kufunguliwa wakati hajakusudia, kama vile mtu mwingine akiishikilia kwenye kidole chake."
"Kifaa cha mtoto wako kinaweza kufunguliwa wakati hajakusudia, kama vile mtu mwingine akikishikilia kwenye kidole chake."
"Tumia alama ya kidole chako kufungua kompyuta kibao yako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti kwenye programu"
"Tumia alama ya kidole chako kufungua kifaa chako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti kwenye programu"
"Tumia alama ya kidole chako kufungua simu yako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti kwenye programu"
"Rudisha kompyuta kibao kwa mzazi wako"
"Rudisha kifaa kwa mzazi wako"
"Mrejeshee mzazi wako simu"
"Vipengele vya ulinzi wa kifaa havitawashwa. Hutaweza kuwazuia watu wengine kutumia kompyuta kibao hii ikiwa itapotea, itaibiwa au itawekewa mipangilio iliyotoka nayo kiwandani."
"Vipengele vya ulinzi wa kifaa havitawashwa. Hutakuwa na uwezo wa kuzuia watu wengine kutumia kifaa hiki iwapo kitapotea, kitaibiwa au kitawekewa mipangilio kilichotoka nayo kiwandani."
"Vipengele vya ulinzi wa kifaa havitawashwa. Hutaweza kuzuia watu wengine kutumia simu hii iwapo itapotea, itaibiwa au itawekewa mipangilio iliyotoka nayo kiwandani"
"Vipengele vya ulinzi wa kifaa havitawashwa. Hutaweza kuzuia watu wengine kutumia kompyuta kibao hii iwapo itapotea au itaibiwa."
"Vipengele vya ulinzi wa kifaa havitawashwa. Hutaweza kuwazuia wengine kutumia kifaa hiki iwapo kitapotea au kitaibiwa."
"Vipengele vya ulinzi wa kifaa havitawashwa. Hutaweza kuzuia watu wengine kutumia simu hii iwapo itapotea au itaibiwa."
"Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni ya kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa kompyuta kibao.\n\nUkibonyeza kitufe cha kuwasha/kuzima skrini itazima."
"Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni ya kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa kifaa.\n\nUkibonyeza kitufe cha kuwasha/kuzima skrini itazima."
"Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni ya kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa simu.\n\nUkibonyeza kitufe cha kuwasha/kuzima skrini itazima."
"Sasa unaweza kutumia alama ya kidole chako kufungua kompyuta kibao yako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti kwenye programu au unapoidhinisha ununuzi"
"Sasa unaweza kutumia alama ya kidole chako kufungua kifaa chako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti kwenye programu au unapoidhinisha ununuzi"
"Sasa unaweza kutumia alama ya kidole chako kufungua simu yako au kuthibitisha kuwa ni wewe, kama vile unapoingia katika akaunti kwenye programu au unapoidhinisha ununuzi"
"PIN hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa"
"Mchoro hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa"
"Nenosiri hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa"
"PIN hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa"
"Mchoro hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa"
"Nenosiri hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa"
"PIN hulinda simu ikipotea au ikiibwa"
"Mchoro hulinda simu ikipotea au ikiibwa"
"Nenosiri hulinda simu ikipotea au ikiibwa"
"PIN inahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nPIN hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa."
"Mchoro unahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nMchoro hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa."
"Nenosiri linahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nNenosiri hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa."
"PIN inahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nPIN hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa."
"Mchoro unahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nMchoro hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa."
"Nenosiri linahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nNenosiri hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa."
"PIN inahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nPIN hulinda simu ikipotea au ikiibwa."
"Mchoro unahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nMchoro hulinda simu ikipotea au ikiibwa."
"Nenosiri linahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nNenosiri hulinda simu ikipotea au ikiibwa."
"PIN inahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso.\n\nPIN hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa."
"Mchoro unahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso.\n\nMchoro hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa."
"Nenosiri linahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso.\n\nNenosiri hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa."
"PIN inahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso.\n\nPIN hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa."
"Mchoro unahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso.\n\nMchoro hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa."
"Nenosiri linahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso.\n\nNenosiri hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa."
"PIN inahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso.\n\nPIN hulinda simu ikipotea au ikiibwa."
"Mchoro unahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso.\n\nMchoro hulinda simu ikipotea au ikiibwa."
"Nenosiri linahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso.\n\nNenosiri hulinda simu ikipotea au ikiibwa."
"PIN inahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso na Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nPIN hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa."
"Mchoro unahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso na Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nMchoro hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa."
"Nenosiri linahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso na Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nNenosiri hulinda kompyuta kibao ikipotea au ikiibwa."
"PIN inahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso na Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nPIN hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa."
"Mchoro unahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso na Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nMchoro hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa."
"Nenosiri linahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso na Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nNenosiri hulinda kifaa kikipotea au kikiibwa."
"PIN inahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso na Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nPIN hulinda simu ikipotea au ikiibwa."
"Mchoro unahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso na Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nMchoro hulinda simu ikipotea au ikiibwa."
"Nenosiri linahitajika ili kuweka mipangilio ya Kufungua kwa uso na Kufungua kwa alama ya kidole.\n\nNenosiri hulinda simu ikipotea au ikiibwa."
"Hatua hii hufuta miundo na picha za alama za vidole zinazohusiana na \'%1$s\' zilizohifadhiwa kwenye simu yako"
"Hatua hii hufuta miundo na picha za alama za vidole zinazohusiana na \'%1$s\' zilizohifadhiwa kwenye kompyuta kibao yako"
"Hatua hii hufuta miundo na picha za alama za vidole zinazohusiana na \'%1$s\' zilizohifadhiwa kwenye kifaa chako"
"Hutaweza kutumia alama ya kidole chako kufungua simu yako au kuthibitisha kuwa ni wewe katika programu."
"Hutaweza kutumia alama ya kidole chako kufungua kompyuta kibao yako au kuthibitisha kuwa ni wewe katika programu."
"Hutaweza kutumia alama ya kidole chako kufungua kifaa chako au kuthibitisha kuwa ni wewe katika programu."
"Simba kompyuta kibao kwa njia fiche"
"Simba simu kwa njia fiche"
"Weka mbinu ya kufunga skrini ili ulinde kompyuta kibao"
"Weka mbinu ya kufunga skrini ili ulinde kifaa chako"
"Weka mbinu ya kufunga skrini ili ulinde simu yako"
"Linda kompyuta yako kibao"
"Linda kifaa chako"
"Linda simu yako"
"Wazuie watu wengine kutumia kompyuta kibao hii bila ruhusa yako kwa kuwasha vipengele vya ulinzi wa kifaa. Chagua skrini iliyofungwa unayotaka kutumia."
"Wazuie watu wengine kutumia kifaa hiki bila ruhusa yako kwa kuwasha vipengele vya ulinzi wa kifaa. Chagua skrini iliyofungwa unayotaka kutumia."
"Wazuie watu wengine kutumia simu hii bila ruhusa yako kwa kuwasha vipengele vya ulinzi wa kifaa. Chagua skrini iliyofungwa unayotaka kutumia."
"Simu yako haitaoanishwa tena na %1$s"
"Kompyuta yako kibao haitaoanishwa tena na %1$s"
"Kifaa chako hakitaoanishwa tena na %1$s"
"Ruhusu tu matumizi ya NFC wakati skrini imefunguliwa"
"%1$s inataka kuhifadhi mtandao kwenye simu yako"
"%1$s inataka kuhifadhi mtandao kwenye kompyuta yako kibao"
"%1$s inataka kuhifadhi mitandao hii kwenye simu yako"
"%1$s inataka kuhifadhi mitandao hii kwenye kompyuta yako kibao"
"Rekebisha mkao wa skrini kiotomatiki unaposogeza simu yako kati ya mkao wima na mlalo"
"Rekebisha kiotomatiki mkao wa skrini unapobadili kompyuta kibao yako kati ya mkao wima na mlalo"
"Inahitaji PIN ili kutumia kompyuta kibao"
"Unahitaji PIN ili utumie simu"
"Itisha PIN ili kutumia kompyuta kibao"
"Itisha PIN kabla kuruhusu simu itumike"
"MDN"
"Nambari ya simu"
"MDN (nafasi ya sim ya %1$d)"
"Nambari ya simu (nafasi ya sim ya %1$d)"
"MDN kwenye SIM"
"Nambari ya simu kwenye SIM"
"Andaa kadi ya SD kwa ajili ya hifadhi ya mfumo"
"Hifadhi programu na maudhui ya kutumia kwenye kompyuta kibao hii tu. <a href=https://support.google.com/android/answer/12153449>Pata maelezo zaidi kuhusu kuweka mipangilio ya kadi ya SD</a>."
"Andaa diski"
"Andaa kadi ya SD kwa ajili ya hifadhi ya mfumo"
"Hifadhi programu na maudhui ya kutumia kwenye simu hii tu. <a href=https://support.google.com/android/answer/12153449>Pata maelezo zaidi kuhusu kuweka mipangilio ya kadi ya SD</a>."
"Andaa diski"
"Unaweza kuhamishia faili, maudhui na baadhi ya programu kwenye ^1. \n\nHatua hii itafuta vipengee ili upate nafasi ya ^2 kwenye hifadhi ya kompyuta yako kibao na inaweza kuchukua takribani ^3."
"Unaweza kuhamishia faili, maudhui na baadhi ya programu kwenye ^1. \n\nHatua hii itafuta vipengee ili upate nafasi ya ^2 kwenye hifadhi ya simu yako na inaweza kuchukua takribani ^3."
"Usiondoe kompyuta kibao hii kwenye chaja"
"Usiondoe simu hii kwenye chaja"
"Hatua hii itafuta data yote kwenye ""hifadhi ya mfumo"" ya kompyuta yako kibao, ikiwa ni pamoja na:\n \n""Akaunti yako ya Google"\n"Data na mipangilio ya mfumo na programu"\n"Programu zilizopakuliwa"
"Hatua hii itafuta data yote kwenye ""hifadhi ya mfumo"" ya simu yako, ikiwa ni pamoja na:\n \n""Akaunti yako ya Google"\n"Data na mipangilio ya mfumo na programu"\n"Programu zilizopakuliwa"
\n\n"Kwa sasa umeingia katika akaunti zifuatazo:\n"
\n\n"Kuna watumiaji wengine waliopo kwenye kifaa hiki.\n"
\n\n"Ili kufuta muziki, picha na data nyingine ya mtumiaji, data iliyo kwenye ""hifadhi ya USB"" inahitaji kufutwa."
\n\n"Ili kufuta muziki, picha na data nyingine ya mtumiaji, data iliyo kwenye ""kadi ya SD"" inahitaji kufutwa."
"Futa hifadhi ya USB"
"Futa kadi ya SD"
"Futa data zote kwenye hifadhi ya ndani ya USB, kama vile muziki au picha"
"Futa data zote kwenye kadi ya SD, kama vile muziki au picha."
"Futa data yote"
"Futa data yote"
"Shiriki muunganisho wa intaneti ya simu kupitia USB"
"Shiriki muunganisho wa intaneti ya kompyuta kibao kupitia USB"
"Shiriki muunganisho wa intaneti ya kompyuta kibao kupitia Bluetooth"
"Shiriki muunganisho wa intaneti ya simu kupitia Bluetooth"
"Shiriki muunganisho wa intaneti ya simu kupitia Ethaneti"
"Shiriki muunganisho wa intaneti ya kompyuta kibao kupitia Ethaneti"
"Kuhusu kompyuta kibao"
"Kuhusu simu"
"Kuhusu kifaa"
"Kuhusu kifaa kinachoigwa"
"Data yako binafsi na ya kompyuta kibao yako zinaweza kuathiriwa na programu ambazo hazijulikani. Kwa kusakinisha programu kutoka chanzo hiki, unakubali kuwajibikia kila wakati uharibifu wowote kwenye kompyuta kibao yako au kupotea kwa data kutokana na matumizi yake."
"Data yako binafsi na ya simu yako zinaweza kuathiriwa na programu ambazo hazijulikani. Kwa kusakinisha programu kutoka chanzo hiki, unakubali kuwajibikia kila wakati uharibifu wowote kwenye simu yako au kupotea kwa data kutokana na matumizi yake."
"Data yako ya binafsi na ya kifaa chako inaweza kuathiriwa na programu ambazo hazijulikani. Kwa kusakinisha programu kutoka chanzo hiki, unakubali kuwajibikia uharibifu wowote kwenye kifaa chako au kupotea kwa data kutokana na matumizi ya programu hizo."
"Ukisitisha huduma hii, baadhi ya vipengele vya kompyuta yako ndogo vinaweza kuwacha kufanya kazi kwa usahihi mpaka uizime na kisha uwashe tena."
"Ukisitisha huduma hii, baadhi ya vipengele vya simu yako vinaweza kuwacha kufanya kazi kwa usahihi mpaka uizime na kisha uwashe tena."
"Maelezo ya kompyuta kibao"
"Maelezo ya simu"
"Mapendeleo ya maandishi na ukubwa wa skrini yako yatarejeshwa kwenye mipangilio halisi ya simu"
"Mapendeleo yako ya maandishi na ukubwa wa skrini yatarejeshwa katika mipangilio halisi ya kompyuta kibao"
"Rekebisha jinsi rangi zinavyoonekana kwenye simu yako"
"Badilisha jinsi rangi zinavyoonekana kwenye kompyuta kibao yako"
"Punguza mwangaza wa skrini zaidi ya kiwango cha chini cha ung\'aavu wa simu yako"
"Punguza mwangaza wa skrini zaidi ya kiwango cha chini cha ung\'aavu wa kompyuta yako kibao"
"Kipunguza mwangaza zaidi kinaweza kusaidia wakati: <ol> <li> Uangavu chaguomsingi wa kiwango cha chini kwenye simu yako bado una mwangaza mwingi</li> <li> Unatumia simu yako katika hali zenye giza, kama vile usiku au katika chumba chenye giza kabla ya kulala</li> </ol>"
"Kipunguza mwangaza zaidi kinasaidia wakati: <ol> <li> Uangavu chaguomsingi wa kiwango cha chini kwenye kompyuta kibao yako bado una mwangaza mwingi</li> <li> Unatumia kompyuta kibao katika hali zenye giza, kama vile usiku au katika chumba chenye giza kabla ya kulala</li> </ol>"
"Simu inatumia kiwango cha kawaida cha betri chinichini"
"Kompyuta kibao inatumia kiwango cha kawaida cha betri chinichini"
"Kifaa kinatumia kiwango cha kawaida cha betri chinichini"
"Katika hali fulani, kama vile halijoto za kiwango cha juu na vipindi virefu vya kuchaji, huenda isichaji zaidi ya %1$s ili kusaidia kudumisha muda wa matumizi ya betri. \n\nHali hizo zitakapoisha, simu yako itachaji kiotomatiki kwa njia ya kawaida."
"Katika hali fulani, kama vile halijoto za kiwango cha juu na vipindi virefu vya kuchaji, huenda isichaji zaidi ya %1$s ili kusaidia kudumisha muda wa matumizi ya betri. \n\nHali hizo zitakapoisha, kompyuta yako kibao itachaji kiotomatiki kwa njia ya kawaida."
"Kwa kuwa umetumia simu yako kuliko kawaida, huenda chaji ya betri yako ikaisha haraka kuliko kawaida.\n\nProgramu zinazotumia betri zaidi:"
"Kwa kuwa umetumia kompyuta yako kibao kuliko kawaida, huenda chaji ya betri yako ikaisha haraka kuliko kawaida.\n\nProgramu zinazotumia betri zaidi:"
"Kwa kuwa umetumia kifaa chako kuliko kawaida, huenda chaji ya betri yako ikaisha haraka kuliko kawaida.\n\nProgramu zinazotumia betri zaidi:"
"Programu zako zinatumia kiwango cha kawaida cha betri. Programu zikitumia kiwango cha juu zaidi cha betri, simu yako itapendekeza hatua unazoweza kuchukua.\n\nUnaweza kuwasha Kiokoa Betri wakati wowote, kama chaji ya betri yako inakaribia kuisha."
"Programu zako zinatumia kiwango cha kawaida cha betri. Programu zikitumia kiwango cha juu zaidi cha betri, kompyuta yako kibao itapendekeza hatua unazoweza kuchukua.\n\nUnaweza kuwasha Kiokoa Betri wakati wowote, kama chaji ya betri yako inakaribia kuisha."
"Programu zako zinatumia kiwango cha kawaida cha betri. Programu zikitumia kiwango cha juu zaidi cha betri, kifaa chako kitapendekeza hatua unazoweza kuchukua.\n\nUnaweza kuwasha Kiokoa Betri wakati wowote, kama chaji ya betri yako inakaribia kuisha."
"Dhibiti matumizi ya chaji kwenye programu ambazo hutumii sana"
"Kompyuta kibao haitumiki"
"Wakati simu haitumiki"
"Chaji ya simu yako inapokuwa zaidi ya %1$s kipengele cha Kiokoa Betri hujizima"
"Chaji ya kompyuta kibao yako inapokuwa zaidi ya %1$s kipengele cha Kiokoa Betri hujizima"
"Chaji ya kifaa chako inapokuwa zaidi ya %1$s kipengele cha Kiokoa Betri hujizima"
"Data ya matumizi ya betri imekadiriwa na haipimi matumizi simu inapochaji"
"Data ya matumizi ya betri imekadiriwa na haipimi matumizi kompyuta kibao inapochaji"
"Data ya matumizi ya betri imekadiriwa na haipimi matumizi kifaa kinapochaji"
"Sakinisha vyeti kutoka kwenye hifadhi"
"Sakinisha vyeti kutoka kwa kadi ya SD"
"Kuondoa akaunti hii kutafuta mazungumzo yako yote, anwani na data nyingine kwenye kompyuta kibao!"
"Kuondoa akaunti hii kutafuta mazungumzo yako yote, anwani na data nyingine kwenye simu!"
"Kuondoa akaunti hii kutasababisha kufutwa kwa ujumbe, anwani na data nyingine kwenye kifaa!"
"Mabadiliko yoyote utakayofanya katika akaunti zako kwenye wavuti yatanakiliwa kiotomatiki kwenye kompyuta kibao yako.\n\nBaadhi ya akaunti pia zinaweza kunakili kiotomatiki kwenye wavuti mabadiliko yoyote utakayofanya kwenye kompyuta kibao. Akaunti ya Google hufanyakazi kwa namna hii."
"Mabadiliko yoyote utakayofanya katika akaunti zako kwenye wavuti yatanakiliwa kiotomatiki kwenye simu yako.\n\nBaadhi ya akaunti pia zinaweza kunakili kiotomatiki kwenye wavuti mabadiliko yoyote utakayofanya kwenye simu. Akaunti ya Google hufanyakazi kwa namna hii."
"Kompyuta kibao yako itazima data ya mtandao wa simu pindi itakapofikia kikomo cha matumizi ulichoweka.\n\nKwa kuwa kompyuta kibao yako ndiyo huwa inapima matumizi ya data, na kampuni inayokupa huduma za mtandao huenda ikahesabu matumizi kwa njia tofauti, unashauriwa kuweka kikomo cha wastani."
"Simu yako itazima data ya mtandao wa simu pindi itakapofikia kikomo cha matumizi ya data ulichoweka. \n\nKwa kuwa simu yako ndiyo huwa inapima matumizi ya data, na kampuni inayokupa huduma za mtandao huenda ikahesabu matumizi kwa njia tofauti, unashauriwa kuweka kikomo cha wastani."
"Shiriki kifaa chako kwa kuongeza watumiaji wapya. Kila mtumiaji ana nafasi ya binafsi kwenye kifaa chako kwa ajili ya Skrini ya kwanza, akaunti, programu, mipangilio na vipengee vingine maalum."
"Shiriki kompyuta yako kibao kwa kuongeza watumiaji wapya. Kila mtumiaji ana nafasi ya binafsi kwenye kompyuta yako kibao kwa ajili ya Skrini ya kwanza, akaunti, programu, mipangilio na vipengee vingine maalum"
"Shiriki simu yako kwa kuongeza watumiaji wapya. Kila mtumiaji ana nafasi ya binafsi kwenye simu yako ya kuweka Skrini ya Kwanza, akaunti, programu, mipangilio na vipengee vingine maalum kwake."
"Mmiliki wa kompyuta kibao pekee ndiye anayeweza kudhibiti watumiaji."
"Mmiliki wa simu pekee ndiye anayeweza kudhibiti watumiaji."
"Utapoteza nafasi na data yako kwenye kompyuta hii ndogo. Huwezi kutendua kitendo hiki."
"Utapoteza nafasi na data yako kwenye simu hii. Huwezi kutendua kitendo hiki."
"Makala ya usaidizi, simu na gumzo"
"Makala ya usaidizi, kompyuta kibao na gumzo"
"Makala ya usaidizi, kifaa na gumzo"
"Gusa mara mbili ili uangalie simu"
"Gusa mara mbili ili uangalie kompyuta kibao"
"Gusa mara mbili ili uangalie kifaa"
"Inua ili uangalie simu"
"Inua ili uangalie kompyuta kibao"
"Inua ili uangalie kifaa"
"Ili uangalie saa, arifa na maelezo mengine, chukua simu yako."
"Ili uangalie saa, arifa na maelezo mengine, chukua kompyuta kibao yako."
"Ili uangalie saa, arifa na maelezo mengine, chukua kifaa chako."
"Gusa ili uangalie simu"
"Gusa ili uangalie kompyuta kibao"
"Gusa ili uangalie kifaa"
"Ili uangalie arifa zako, telezesha kidole kuelekea chini kwenye kitambua alama ya kidole kilicho upande wa nyuma wa simu yako."
"Ili uangalie arifa zako, telezesha kidole kuelekea chini kwenye kitambua alama ya kidole kilicho upande wa nyuma wa kompyuta yako kibao."
"Ili uangalie arifa zako, telezesha kidole kuelekea chini kwenye kitambua alama ya kidole nyuma ya kifaa chako."
"Unapotumia SIM mbili, simu hii itatumia 4G pekee. ""Pata maelezo zaidi"
"Unapotumia SIM mbili, kompyuta hii kibao itatumia 4G pekee. ""Pata maelezo zaidi"
"Unapotumia SIM mbili, kifaa hiki kitatumia 4G pekee. ""Pata maelezo zaidi"
"Hatua hii itakata simu yako"
"Hatua hii itakata simu yako"